Dullonet Tanzania

Just Call it Real Solution for News and Information

Dullonet Tanzania vision is to make Tanzania to be computerized.

Dullonet Advert


Latest Activity

emilie is now a member of Dullonet Tanzania
yesterday
on Saturday
ali_ninga@yahoo.com
on Thursday
ali ramadhani ninga added 7 photos to the album 'ali ramadhani ninga'
on Thursday
on Thursday
David Mtweeve is now a member of Dullonet Tanzania
on Thursday
portas kachoka and zamil qassim joined Dullonet Tanzania
February 1
February 1

Photos

Loading…

Events

Birthdays

Birthdays Tomorrow

Music

Loading…
 


RSS

SIMBA YAIBANJUA MANYEMA 2-0 UWANJA WA UHURU!!

Moja kati ya matukio wakati klabu za Simba na Manyema zote za Dar es Salaam zilipopambana na Simba kuifunga Manyema 2-0.

Magoli ya timu ya Simba ya jijini Dar es salaam yaliyofungwa na wachezaji wake Ulimboka Mwakingwe na Mussa Hassan Mgosi yalitosha kabisa kuizamisha timu ya Manyema Rangers ya jijini Dar es salaam pia kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru.
Katika Mchezo huo uliokuwa na upinzani katika kipindi cha kwanza uliichukua timu ya simba muda mrefu mpaka kufanikiwa kupenya ngome ya timu ya Manyema na kufanikiwa kupata goli la kwanza kwenye dakika ya 63 ya mchezo huo kwa goli safi lililofungwa na Ulimboka Mwakingwe.
Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa timu ya Manyema aka "Mkuki wa Sumu" baada ya kuwachezea vibaya Mussa Mgosi katika eneo la hatari hivyo kusababisha adhabu ya Penati katika lango lao na kumfanya mchezaji huyohuyo Mussa Mgosi kufunga goli katika dakika ya 71.
Kwa matokeo hayo ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Manyema Rengars ina maana timu ya Simba inaendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi 46 ikiwa ni tofauti ya poiti 10 dhidi ya watani wao Yanga wanaofuatia kwa pointi 36.

Mabadiliko ya uongozi Nigeria


Bunge la Senate nchini Nigeria, kutokana na rais Umaru Yar'Adua kuugua kwa muda sasa, limepiga kura na kuamua kumkabidhi madaraka makamu wa rais.
Katika mjadala mkali bungeni, maseneta hao walisema hatua hiyo ilibidi ili kuiepusha nchi hiyo kwa kukosa uongozi thabiti, na kuwepo pengo katika uongozi, jambo ambalo linazuia maendeleo.
Pengo hilo la uongozi limekuwepo nchini Nigeria tangu mwezi Novemba mwaka jana, wakati Umaru Yar'Adua alielekea Saudi Arabia kupata matibabu.
Waandishi wa habari wanaelezea kwamba bado haijafahamika wazi ikiwa kura ya bunge ina uwezo kamili katika kumkabidhi uongozi makamu wa rais, Goodluck Jonathan.
Bunge dogo la Nigeria, leo pia linajadili tatizo hilo la uongozi.

ZAMBIA'S LUKANDO WINS M-NET'S FACE OF AFRICA 2010!!

On Saturday February 6, in a stylish haute couture showcase 22-year-old Lukando Nalungwe from Zambia joined an exclusive group of winners when she was named the eighth and newest M-Net Face of Africa. The striking model scooped USD 50 000 from M-Net along with a modeling contract from O Model Africa and skincare products for 12 months from Iman Cosmetics.
Re-invention and innovation are hot buzzwords for the global fashion community and in a two-hour show, screened live from Lagos to 47 countries across Africa, M-Net presented a bold new vision for the Face of Africa Final opting for an edgier version of a traditional runway show and presenting the models on a black, floor-based runway in a contemporary warehouse.
With the Final themed to resemble the loading warehouse of an art museum, where precious gallery pieces are prepared for display, the staging included massive cargo boxes stamped with African destinations with extra-ordinary sized gold frames that showcased the fashion and the finalists; and packaging tape demarcating the runway from the show’s seated guests, it was a uniquely fresh approach to showcasing Afro-chic expression.
Hosted by Studio 53’s Fareed Khimani (Kenya) and former Face of Africa Kaone Kario (Botswana) with a guest appearance by last season’s Face of Africa Kate Menson (Ghana), the finale included entertainment from Nigerian superstar D’banj belting out his hits Suddenly and Fall in Love. Meanwhile soulful South African songstress Lira, shimmering in green silk, showed why she’s one of Africa’s rising stars with two brilliant performances of her hits Feel Good and Believer!
But the night belonged to the TOP 10 – and from the minute that Nigeria’s Marvis kicked off the show, followed in rapid success by Tholakele (Zimbabwe), Lilian (Tanzania), Esperanca (Angola), Thembi (South Africa), Blessing (Nigeria), Rosanna (Zimbabwe), Diana (Kenya), Ernania (Mozambique) and Lukando (Zambia), it was very clear just who the stars of the show really were.
Showing how much they’ve learnt during the Face of Africa search, which DStv audiences have been following for 15 weeks, the Face of Africa TOP 10 hit the catwalk with confidence, graceful as they strode down the catwalk resplendent in garments designed by the best of African designers.
Among the record 26 designers sending their creations down the runway were a Nigerian contingent that included - Zizi Cardow, Frank Osodi, Odio Mimonet, Fati Asibelua, Folake Folarin-Coker, Ituen Basi, Adebayo Jones, Lanre Da Silva-Ajayi, Lisa Folawiyo and Yemi Osunkoya.
Joining them were their counterparts from across the continent led by featured designers John Kaveke (Kenya) and David Tlale (South Africa)and including Anna Getaneh (Ethiopia), Kofi Ansah (Ghana), Anisa Mpungwe (Tanzania), Gloria WavaMunno (Uganda), Chakirra Claasen (Namibia), Cathy Kathunzi (Malawi), Koketso Chiepe (Botswana), Liz Ogumbo (Kenya), Taibo Bacar (Mozambique) and Angela Mulenga (Zambia).

TUKIO LA LEO BUNGENI DODOMA!

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo jana nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na Waziri Mkuu Mstaafu na ambaye ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa . Wote wawili wako Dodoma kwa ajili ya kuhudhuri shughuli za Bunge zinazoendelea.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma
Mbunge wa Bariadi Magharibi(CCM) Andrew Chenge(kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu na ambaye ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa jana nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Wabunge hao wako mjini hapa kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Bunge linaloendelea.

KUFUNGIWA KWA TIMU YA TOGO SERIKALI ILIINGILIA MASUALA YA MICHEZO!!

Mjumbe wa kudumu wa CAF mwanasheria Said El Maamri amesema shirikisho la mpira wa miguu la CAF halikukosea kuifungia timu ya taifa ya Togo mara baada ya kujitoa kwenye michuano ya kombe la Mataifa huru ya Afrika yaliyomalizika hivi karibuni nchini Angola.
El maamri ameyasema hayo leo kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo wakati akifafanua mambo mbalimbali kutokana na hatua ya shirikishom la mpira wa miguu la CAF kuifungia Togo.
Amesema Serikali ya Togo iliingilia masuala ya mpira wakati kanuni na sheria za FIFA na CAF zinasema mambo ya mpira yasiingiliwe na serikali za nchi husika badala yake viachiwe vyama vya mpira vya nchi hizo vishughulikie mpira.
Ameongeza kuwa kimsingi kwa kanuni za CAF timu zote zilizokuwa zikienda Angola kwa ajili ya michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika zilitakiwa kutumia usafiri wa ndege ili kufika huko, lakini Togo walichukua ndege kutoka Lome Togo na kutua katika mji wa PortNoer nchini Congo Brazzavile, baada ya kufika hapo waliamua kutumia usafiri wa basi, hata hivyo walitoa taarifa ya kutumia usafiri wa basi katika muda mfupi sana na kupewa ulinzi wa magari mawili na askari kabla ya kuelekea jimbo la Cabinda ambako ndiyo kilikuwa kituo chao cha mashindano , walipokuwa njiani katika msitu ndipo waliposhambuliwa na waasi ambao wanapambana na chama cha MPLA kinachatawala nchini Angola.
Katika shambulio hilo baadhi ya watu walipoteza maisha akiwemo kocha msaidizi wa timu hiyo huku wengine wakijeruhiwa.
Kutokana na tukio hilo Mwenyekiti wa CAF Issa Hayatou na baadhi ya wajumbe wa CAF kutoka kituo cha Luanda walienda Cabinda na kukutana na uongozi wa Timu ya Togo na wachezaji ambapo CAF iliipa Togo maagizo mawili ili waone ni kipi kitafaa kwao na waseme iwapo wataendelea na mashindano au hawataendelea na mashindano na jibu lolote ambalo wangelitoa CAF ingekubaliana nao, Viongozi na wachezaji wa Togo walikubali kuendelea na mashindano
.Hata hivyo Serikali ya Togo iliwaamuru wachezaji wake kurejea nyumbani na kwamba mchezaji yeyote ambaye angebaki Angola angekuwa amepoteza uraia wake wa Togo, hivyo wachezaji pamoja na viongozi wao walitii agizo la serikali yao na kurejea Togo.
Kutokana na mkanganyiko huo tayari serikali ya Togo ilikuwa imeingilia masuala ya michezo kitu ambacho sheria na kanuni za shirikisho la mpira wa miguu la FIFA na CAF zinakataza serikali kuigilia masuala ya michezo.
Katika suala hili ilitakiwa Serikali ya Togo iwasiliane na Serilaki ya ya Agola kuhusu masuala ya usalama wa wachezaji kama waliona kulikuwa na wasiwasi zaidi juu ya hilo na walitakiwa kuliachia shirikisho la mpira la Togo kuwasiliana na CAF ili kushughulikia suala la timu ya Togo kurejea nyumbani au kubaki na siyo Serikali kwa kuwa CAF inawasiliana na shirikisho la soka la Togo na siyo Serikali ya Togo.

RSS

libeneke la chokoraa A-Taun

Ankal thenk yuu veri machi kwa kutupa nafasi wadau kukutana na kuyaaanika mamabo yetu mengi. Nimekutana na hilitukio juzi nikitoka kazini. kwenye picha nilizo attach utaona kuna kijana amelala barabarani, usidhani kagongnwa na gari au kaanguka bahati mbaya noo.
Huyo ni mmoja wa vijana wanaoitwa wa mitaani huku wamezoeleka kama Chokoraa. Hapo alijilaza makusudi na baada ya uchunguzi wangu nikagundua hataki kuamka mpaka apewe chapaa ya msosi. Eti anadai njaa imezidi. mambo ya gudi ankal, si unajua tena?. Picha na habari na Mdau Munisi from R-Chugga

makonde na anavivian wameremeta

mpiganaji Thomas Makonde na mai waifu wake Annavivian Kagemlo wakitabasamu baada ya kumeremeta jumamosi kwenye kanisa la St. Joseph jijini Dar na baadaye kwenye mnuso wao wa nguvu ukumbi wa Holland hall Msimbazi Centre. Makonde ni mmoja wa wapiga picha maarufu nchini na Annavivian ndio kwanza kala nondozzz yake IFM
bi harusi na wapambe wake
maharusi na wapambe wao
vituzzzz vya makonde siku akija kukupigia picha zako za harusi
email yake ni: makondephoto@yahoo.com




valentine dinner @ peacock hotel in dar

VALENTINE DINNER PACKAGE INCLUDES
- Free Welcome drink
-Buffer Menu
- Roses for the ladies
-Chocolate
-Glass of sparkling wine
-Entertainment by Kalunde Band andWanne Star plus Fashion show
VALENTINE DINNER@Tshs 50,000/- per couple
Tshs 25,000/- for single
Tshs 10,000/- for kids below 12 years
FOR FURTHER INFORMATION CONTACT:
TEL: +255 22 2114128
CELL: +255 713 559628 /+255 788 475199

tapeli wa 'madawa ya FAO' abambwa uwanja wa ndege

Mtuhumiwa wa utapeli, Ashrafu Kingu,(kati) akiwa amedhibitiwa na askari kanzu wa uwanja wa ndege. Kulia nyuma ni Bi. Hilda aliyetaka kulizwa madawa feki wanayotumia watuhumiwa kulaghai watu



Walinzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari kanzu mnamo Februari 3, mwaka huu walifanikiwa kuzima jaribio la utapeli mkubwa wa mamilioni ya fedha uliokuwa ufanyike uwanjani hapo.

Katika sekeseke hilo, Polisi walifanikiwa kumnasa mtu mmoja aitwaye Ashrafu Kingu ambaye inadaiwa ni tapeli mzoefu kutoka katika genge moja lenye mtandao mkubwa wa shughuli hiyo uliosambaa nchini kote na hata nje ya nchi.

mpango huo kabambe ulikuwa wa kumtapeli mfanyakazi mmoja wa uwanja huo, Bi.Hilda Kusoka, kiasi cha zaidi ya Sh. Milioni 20 kwa kumpa dili la bidhaa feki ambazo walidai ni dawa za mazao zinazotolewa kinyume cha sheria kutoka katika kiwanda cha dawa cha Shellys Pharmaceuticals Ltd , kilichopo Mwenge jijini Dar. Gia yao ni kuwa madawa hayo ni dili huko Kigoma kwenye maghala ya chakula cha misaada ya FAO.

Kwa mujibu wa Bi.Hilda , alidai kuwa mpango mzima wa utapeli huo ulifanywa na kaka yake wa tumbo moja mkazi wa Masaki, jijini Dar es Salaam ambaye ni memba wa mtandao huo wa matapeli.


habari kamili
BOFYA HAPA

RSS

Kimondo bendi kukamua picolo beach valentine day


BENDI ya muziki wa dansi ya jijini Dar, K-Mondo Sound inatarajiwa kufanya onyesho la siku ya wapendanao katika hoteli ya Picolo Beach, Dar es Salaam ikisindikizwa na onyesho la Mavazi.


Meneja wa bendi hiyo, Aunt Connie Karanja amesema kuwa katika onyesho hilo ambalo kiingilio chake kimepangwa kuwani ni sh 50,000 kwa VIP na 30,000 kwa viti vya kawaida, kutakuwa na mavazi maalum ya Valentine. “Bendi yetu itafanya onyesho hapo pamoja na Mariam Kamegisha wa Uganda wengi wanamfahamu kama Tinatine, lakini pia kutakuwa na onyesho maalum la mavazi ya valentine,” alisema.

Alisema mbunifu wa kitanzania, Dina Designer ataonyesha nguo zake mpya ambazo zitajumuisha matukio mbalimbali. K-Mondo inatamba na nyimbo zake za Magambo, Sharufa, Njiwa, pamoja na ule wa Tatizo Umasikini ambao umeimbwa na Vumi Mwaipopo. Nyota wengine wanaounda kundi hilo ni pamoja na Richard Mangustino ambaye ni mwimbaji na mtunzi pamoja na Mhina Panduka ‘Toto Tundu’.

VALENTINE DAY ON 14TH FEB 2010 AT PEACOCK HOTEL- MILLENNIUM TOWER


VALENTINE DINNER PACKAGE INCLUDES
- Free Welcome drink

-Buffer Menu

- Roses for the ladies

-Chocolate

-Glass of sparkling wine

-Entertainment by Kalunde Band andWanne Star plus Fashion show
VALENTINE DINNER@
Tshs 50,000/- per couple
Tshs 25,000/- for single
Tshs 10,000/- for kids below 12 years
FOR FURTHER INFORMATION CONTACT:
TEL: +255 22 2114128

CELL: +255 713 559628 /+255 788 475199


muziki wa taarabu sio ulingo wa matusi


Anaitwa Ayubu Byemelwa a.k. Babu Ayubu mpaka sasa amefanikiwa kuikamilisha albamu yake ya kwanza ya taarabu ijulikanayo kwa jina la KOMBATI yenye jumla ya nyimbo nne, anazitaja nyimbo hizo kuwa ni Chaja ya kobe, Wapambe, Sendoff party pamoja na Jipu la kwapa, ambazo zote zimerekodiwa ndani ya studio za Sound Crafters Productions na Bakunde Productions.

Akifafanua mandhari nzima ya muziki wa taarabu kwa sasa, Babu Ayubu anabainisha kuwa umekuwa na tofauti kubwa, kwani muziki wa taarabu una asili yake na mashairi yake, asilimia kubwa ni mafumbo ambayo huimbwa kwa kumsema mtu au kumjibu mtu,
“Lakini zama hizi dhana nzima ya muziki huu imebadilishwa na baadhi ya wanamuziki kuufanya ni ulingo wa matusi, jambo ambalo linapelekea muziki huo kupoteza maana halisi ya taarabu” analonga Babu Ayubu.
Ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Chaja ya kobe,yuko pale chuo kikuu huria akichukua shahada yake kwanza ya sociology .

"PARFUM D' AMOUR" LAUNCHED GRAND FINALE DESIGNER FOR THE SIXTH AFRICA COLLECTION





Mustafa Hassanali, Tanzania’s Renowned Designer launched his first collection of 2010 PARFUM D’AMOUR in Cameroon Premiere Fashion festival, Afric Collection on 6 February.
The New Collection “Parfum d’Amour” is a sensual collection Inspired by the Love of Life aptly timed for the St Valentines Day.“It’s a collection for the Women of Confidence, Power and Prestige. The Gowns are Elegant and Exquisite to the Core flaunting Feminine Fragrance of Sensual Spirituality”.
ABOUT MUSTAFA HASSANALI
Mustafa Hassanali is renowned for its elegance, style, flamboyancy, glamour and glitz that has made it one of the most sought after fashion houses in Tanzania
He has showcased in Africa and Europe, which has been a great influence on his approach to the world of Fashion in Tanzania . It is his exquisite handwork, detailed beadwork, and creative ensemble embellishments that make its work alive. .
His showing at the India International Fashion week 2009,Naomi Campbell’s Fashion For Relief, Arise Africa Fashion week 2009, Durban & Cape Town Fashion Weeks, Vukani Fashion Awards in Pretoria, Miss Ethiopia Beauty Pageant, Mediterranean Fashion Festival in Sicily, Italy; M’Net Face of Africa, Mozambique, Uganda & Kenya Fashion Weeks brought him immense adulation.

His work with international Models like Naomi Campbell, Oluchi Omweagba, Millen Magese and other International Celebrities has revolutionized the perception of the fashion scenario from Tanzania . He also is the Organiser of Eastern Africa’s Premier Fashion Platform, Swahili Fashion Week. From corporate wear, traditional costumes, or even a Wedding Ensemble, Mustafa Hassanali handles each piece with great care and gives the utmost attention to whole outfit. Each design and Outfit is Unique…. A duplicate is NEVER created. That is what makes it uniquely, a Truly Mustafa Hassanali Affair.
CONTACTS
TELEPHONE NUMBER: +255-78-4303880
EMAIL ADDRESS: media@mustafahassanali.net
WEBSITE URL: http://www.mustafahassanali/ .net/

Blog Posts

khalid juma bhoky

now more about me my friend in this world

habari za saa hizi watanzania na dunia kwa ujumla?
jamani marafiki mimi binafsi nashukuru kwa kuwa dullonet inatuleta pamoja hivyo sina budi kuipongeza nakuomba utembelee tovuti yangu ukitaka kujua habari zangu zaidi :

mawasiliano:simu namba;0756823823,0715823723,0784823823 au 0772523823.
e-mail me on:bhokyjuma@yahoo.com

my blog:www.bhokyjuma.typepad.com

Posted by khalid juma bhoky on December 31, 2009 at 2:37pm

Rose Tyler

The Top 6 Ways to Facilitate Your Dissertation Writing Process

Dissertation writing is not an easy task and it is extremely challenging for almost all students. Dissertation writing is the most important part of your degree. It requires dedication, perseverance, ability to do in-depth research and determination. Writing dissertation is challenging but not impossible and you should try to facilitate your dissertation wri… Continue

Posted by Rose Tyler on July 3, 2009 at 1:56pm

JAMES LUBUS

MY BOOK OF ADRIEN ATIMAN

B
orn and raised in Sumbawanga grew up the youngest of four children. A fervent creative since early childhood, he often dreamed of becoming a writer. Lubus graduated from Rukwa High School in 2007. Lubus’s dream to write was sparked when he began writing creative new products to giant companies such as Zain and Tigo. Unfortunately despite being the lawyer, the role of Intellectual Property on secret trade and patent did not help him, till recent time when he tries to protect his intellectual pr… Continue

Posted by JAMES LUBUS on June 20, 2009 at 12:45pm

James amando Lubus

JAMES LUBUS

Thank you once againfor having the time at the elite center and it is only prudent people who can have various ideas on social,political and economic issues.Let us share our ideas or you can visit my creative blog to read Tanzania News paper or something good, religious message wwwmwanasherialubus.blogspot.com it www bila nuka.Otherwise all the best

Posted by James amando Lubus on April 25, 2009 at 9:21pm

 
 

Badge

Loading…

Members

  • emilie
  • David Mtweeve
  • portas kachoka
 

© 2010   Created by Dullonet Tanzania on Ning.   Create a Ning Network!

Badges  |  Report an Issue  |  Privacy  |  Terms of Service

Sign in to chat!